Uchumi wa buluu fursa ya kuuaga umasikini Dhana nzima ya uchumi wa buluu ni shughuli zote za uendelezaji na ukuzaji wa uchumi, kupitia matumizi bora ya rasilimali maji kama bahari, mito na maziwa.